Morogoro, Tanzania
Mon - Sunday : 08.00 AM - 07.00 PM
+255 697 787 433
Driver Registration
Usajili kamili wa madereva na nyaraka muhimu
Employer Dashboard
Waajiri kusimamia na kuhakiki madereva kwa urahisi
Verification
Uhakiki wa taarifa kwa usalama na uaminifu
About ADTAN

Mfumo wa Kidijitali wa Madereva na Waajiri

ADTAN ni mfumo wa kidijitali unaowawezesha madereva kujisajili na kupata ajira kupitia waajiri walioko kwenye mfumo. Madereva wanapitia verification ya nyaraka na historia ya ajira ili kuhakikisha uaminifu na usalama.

Kwa upande wa waajiri, ADTAN inarahisisha kutafuta, kuajiri, na kufuatilia madereva waliopo kwenye mfumo kwa realtime. Ripoti na tracking zinapatikana kwa wakati halisi ili kusaidia maamuzi sahihi.

Why Choose Us

Kwa Nini Uchague ADTAN

ADTAN ni mfumo wa kuaminika unaorahisisha ajira za madereva kwa kuwaunganisha moja kwa moja na waajiri waliothibitishwa kwa njia salama na ya kisasa.

Fursa kwa Madereva
Madereva wanajisajili mara moja na kupata nafasi za ajira kutoka kwa waajiri tofauti.
Urahisi kwa Waajiri
Waajiri wanapata madereva waliothibitishwa bila usumbufu wa matangazo au mahojiano marefu.
Usalama & Uaminifu
Taarifa na nyaraka zote zinathibitishwa ili kuhakikisha uaminifu kwa pande zote.
Mfumo wa Kidijitali
Usimamizi wa madereva na ajira hufanyika moja kwa moja kupitia dashboard ya ADTAN.
Testimonial

What Our Users Say!