ADTAN ni mfumo wa kidijitali unaowawezesha madereva kujisajili na kupata ajira kupitia waajiri walioko kwenye mfumo. Madereva wanapitia verification ya nyaraka na historia ya ajira ili kuhakikisha uaminifu na usalama.
Kwa upande wa waajiri, ADTAN inarahisisha kutafuta, kuajiri, na kufuatilia madereva waliopo kwenye mfumo kwa realtime. Ripoti na tracking zinapatikana kwa wakati halisi ili kusaidia maamuzi sahihi.
Usajili wa madereva kwa njia ya kidijitali pamoja na taarifa binafsi na nyaraka muhimu.
Waajiri wanaweza kuona, kuchuja na kuhakiki madereva kulingana na mahitaji yao.
Uhakiki wa nyaraka, leseni na ripoti za madereva kwa usalama na uaminifu.
ADTAN inatoa huduma bora za usajili na verification ya madereva na waajiri, kuhakikisha usalama, uaminifu na kurahisisha tracking kwa mfumo wa kidijitali.
“ADTAN imenifanya niwe rahisi kuajiri madereva waliosajiliwa tayari. Sasa ninaweza kupata madereva wa kuaminika kwa haraka na bila matatizo.”
“Kama dereva, nimejisajili kwenye ADTAN ili kupata ajira. Mfumo unarahisisha kuonekana kwa waajiri, na nimepata kazi haraka.”
“Kupitia ADTAN, ninaweza kuona profiles za madereva waliosajiliwa na kuchagua waafaa kwa kazi zangu. Hii inarahisisha usimamizi wa timu.”